Posts

Siku 6 za Magufuli Arusha

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa njiapanda ya KIA mara baada ya kusimamishwa msafara wake alipokuwa anaelekea  katika uwanja wa ndege wa kimataifa KIA  kuelekea Dar es salaam akitokea mkoa wa Arusha alipokuwa na ziara ya siku 6 kuanzia septemba 20,2017 hadi Septemba 25,2017. Baadhi ya wananchi wa njiapanda ya KIA wakishangilia kwa furaha wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza nao mara baada ya kusimamishwa msafara wake alipokuwa anaelekea  katika uwanja wa ndege wa kimataifa KIA  kuelekea Dar es salaam akitokea mkoa wa Arusha alipokuwa na ziara ya siku 6 kuanzia septemba 20,2017 hadi Septemba 25,2017.